An Initiative of the Ministry of
Religious Endowments and Religious Affairs
Sultanate of Oman
Maonyesho hayo yanatoa utambuzi katika mazoefu ya uislamu katika maisha ya kawaida ya kila siku, uchunguzi wa maisha katika jamii ya wakati huu ya Omani na wajibu wa wanawake katika jamii.
“Ni vizuri kwamba maonyesho haya yanaweza kusisitiza mumhimu wa lazima wa uhuru wa dikini katika dunia mahali ambopo uhuru kama huu kwa mara nyingi hauheshimiwi.”
“Ni vizuri pia kwamba ushauri halisi wa falsafa ya Ibadhi ya Uislamu, vilevile desturi za uvumilivu za Usultani wa Omani hasa zinapewa sifa.”
Risala kutoka kwa Askofu Mkuu wa Canterbury, Mheshimiwa Rowan Williams, kwa wasikilizaji wa maonyesho katika kituo cha St. Philips, Leicester, Uingereza mwezi Julai 2012.